UWEZESHAJI FEDHA YA KUJIKIMU KWA VIJANA:

Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 23/10/2023:

Kila mwaka, maelfu ya vijana wanaopitia vyuo vikuu, vya kati na shule wanakutana na changamoto kubwa: jinsi ya kugharamia masomo yao, na baada ya kuhitimu, jinsi ya kuanzisha maisha yao bila mzigo mkubwa wa mikopo yenye riba. Hili ni tatizo ambalo limekuwa likiwaandama vijana kwa muda mrefu.

Tovuti ya www.nyongeza.com sasa imeleta matumaini mapya kupitia program yake ya “nyongeza” inayo muwezesha kijana kiasi kido cha fedha bila kutozwa riba yeyote kwa kijana mwenye nia,malengo ya kufanya kazi, walio kosa fedha ya kujikimu shuleni au vyuoni, ingawaje nikiasi kidogo kinacho tolewa lakini kina msaada mkubwa kumuinua na kumshika mkono kijan huyu.

Uwezeshaji wa fedha bila riba ni mbinu inayolenga kutoa fursa za kifedha kwa vijana ili waweze kufikia ndoto zao za kielimu na kazi bila kuingia katika mikopo yenye riba au mzigo wa madeni. Programu hii inawalenga vijana waliopo vyuoni, shuleni, na hata waliohitimu masomo yao, na inaonekana kuwa ufunguo wa kuleta matumaini na mustakabali mpya kwa kizazi cha sasa na kijacho.

Kwa nchi kama Tanzania bado kuna umuhimu mkubwa katika kutoa uwezeshaji wa fedha bila riba kwa vijana wasio na matumaini ya kipato, Programu hii inalenga kufikia mambo yafuatayo:

1. Kuongeza Fursa za Elimu: Vijana wengi wamekuwa wakikosa fursa ya elimu bora kutokana na ukosefu wa fedha. Programu za uwezeshaji wa fedha bila riba zinawawezesha kusoma na kuboresha maarifa yao bila wasiwasi wa mikopo na riba inayokuja na madeni.

2. Kupunguza Umaskini: Vijana wanaohitimu masomo yao mara nyingi wanakabiliwa na changamoto ya kukosa ajira. Programu hii inawapa nafasi ya kuanzisha biashara ndogo au kushiriki katika miradi ya kujiajiri kupitia uwezeshaji wanao upata kutoka kwenye program ya “nyongeza”, hivyo kupunguza kiwango cha umaskini na kutoa matumaini ya kipato.

3. Kuhamasisha Ujasiriamali: Uwezeshaji wa fedha bila riba unaweza kuchochea ujasiriamali miongoni mwa vijana. Wanapopata mtaji wa kuanzisha biashara zao, wanaweza kuchangia katika ukuaji wa uchumi wa nchi na kupunguza ukosefu wa ajira na hili ndili lengo letu kuu.

4. Kujenga Mustakabali Bora: Kwa kuwawezesha vijana bila kuwabebesha mzigo wa madeni, programu hizi zinawasaidia kujenga mustakabali bora na kuwa raia wanaojitolea kwa maendeleo ya jamii na taifa lao. Program hii ya “nyongeza” ni ya kipekee inayowawezesha vijana kuwa wabunifu, wenye ujasiriamali, na kuwa nguvu kazi yenye uwezo wa kuleta mabadiliko chanya katika jamii zao na taifa kwa ujumla kupitia kile kidogo wanacho kipata kwenye uwezeshwaji, kuwa miongoni mwao leo.

Ilikuomba bofya kwenye kitufe cha rangi ya bluu hapa chini.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *