Slide 1

Uwezeshaji fedha kwa Vijana ya kuanzisha Biashara.

Uwezeshaji wa fedha bila riba unaweza kuchochea ujasiriamali miongoni mwa vijana. Wanapopata mtaji wa kuanzisha biashara zao, wanaweza kuchangia katika ukuaji wa uchumi wa nchi na kupunguza ukosefu wa ajira na hili ndili lengo letu kuu.

Slide 2

Uwezeshaji Fedha kwa Vijana ya kulipia Pango la Nyumba.

Kwa kuwawezesha vijana bila kuwabebesha mzigo wa madeni, programu hizi zinawasaidia kujenga mustakabali bora na kuwa raia wanaojitolea kwa maendeleo ya jamii na taifa lao.

Slide 3

Uwezeshaji Fedha ya kujikimu kwa Vijana.

Uwezeshaji wa fedha bila riba ni mbinu inayolenga kutoa fursa za kifedha kwa vijana ili waweze kufikia ndoto zao za kielimu na kazi bila kuingia katika mikopo yenye riba au mzigo wa madeni.

previous arrow
next arrow

Fursa ya Kuanza Safari Yako!

Wewe ni kijana mwenye shauku ya kufanikiwa katika maisha? Tuna habari njema kwako! Sasa kuna fursa ya kupata ruzuku ya kujikimu kwa vijana, bila kujali ikiwa uko ndani au nje ya chuo.

Tovuti yetu itakusaidia kupata rasilimali na miongozo muhimu katika safari yako ya kujenga mustakabali mzuri.

Ruzuku ya Kujikimu kwa Vijana

Ruzuku hii inakusaidia kuanza safari yako ya kujikimu katika ulimwengu wa kazi au biashara. Ikiwa unataka kuanzisha biashara yako mwenyewe, kupata mafunzo ya ufundi, au kujikita kwenye kazi unayopenda, sisi tumekuwa hapa kukuwezesha.

Lengo letu kuu ni kuwawezesha vijana wavyuoni kuwa na uhuru wa kifedha na kujitegemea wakati bado wako chuoni au katika hatua za mwanzo za kazi zao. Tunataka kuwapa fursa za kujikimu, kuendeleza ujuzi wao, na kuwaongoza katika kufikia malengo yao ya kifedha na maendeleo ya kibinafsi.

Machapisho muhimu:

Hapa utajipatia machapisho mbali mbali yenye masomo fursa ya kuongeza kipato chao na kujitegemea wakati bado wapo chuoni au katika hatua za mwanzo za kazi zao.

Tembelea Chaneli yetu ya YouTube

Faida 10 za kujiwekea malengo kwa Vijana.